Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashaurinya Wilaya ya Maswa anapenda kuwakaribisha wananchi wote kuja kusikiliza Kikao cha Baraza la Madiwani cha kujadili mambo ya maendeleo Robo ya tatu ya Mwaka wa Fedha 2018/2019.
Kikao hiki ni cha siku tatu kuanzia tarehe 15 - 17/5/2019 kama ifuatavyo.
Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
Sanduku la Posta: 170, MASWA
simu ya Mkononi: +255 282 750 271
Simu: +255 282 750 271
Barua Pepe: ded@maswadc.go.tz
Copyright ©2022 Maswa District Council. All rights reserved.